New Update
Enjoy Lastborn App
Exchange 💱 & Top Up za Vikosi
Post kikosi chako, badilishana au ongeza pesa upate kikosi kikubwa zaidi — admin anasimamia kila deal.
Lastborn_efootball group (clan)
Jiunge na clan, ona SMS mpya, fixtures za home/away na msimamo wa pointi.
Shop ya Token
Nunua Token moja kwa moja; zinatumika kwenye spin, clan, post na ununuzi wote.
Settings mpya
Badilisha lugha, washa notification, sauti na safisha data za muda kwa urahisi.
Marketing & Gaming Items
Chagua vifaa, jaza taarifa na uende DM; CHAT WHATSAPP inatuma oda yako yote. Oda za vifaa hazina kikomo cha muda.
Vikosi na Status mpya
Vikosi vipya na offer zake vinaonekana kwenye Status — gusa kuona picha, bei na kununua.
Malipo kwa Tigo Pesa
Lipa Namba 192494630 (DICKSON NG'OLO); tuma screenshot ya muamala kwenye DM.