Sera ya Faragha

Hii ni sera ya faragha ya Lastborn eFootball Store. Kwa kutumia huduma hii unakubali sera hii.

Taarifa tunazokusanya

Tunakusanya email na password unapotumia kujisajili, pamoja na meseji unazotuma kwenye chat na mauzo unayofanya kupitia WhatsApp. Hatukusanyi taarifa zaidi ya hizo.

Matumizi ya taarifa

Tunatumia email yako kukuruhusu kuingia kwenye akaunti yako na kukuwasilisha na wewe kuhusu maagizo na huduma zetu. Taarifa zako haziuuzwi wala kushirikishwa na wahusika wengine bila ridhaa yako.

Usalama wa taarifa

Taarifa zako zinahifadhiwa salama kwenye mfumo wetu na kufikwa tu na admin kwa madhumuni ya kuendesha huduma.

Haki zako

Una haki ya kuomba kuona au kufuta taarifa zako wakati wowote. Kwa kufuta akaunti yako kabisa, tumia ukurasa wa Delete Account.

Mawasiliano

Kwa maswali yoyote kuhusu sera hii ya faragha, wasiliana nasi kupitia WhatsApp namba +255 699 276 287.